Moyo Series Episode 1
Moyo Series Episode 1
< 00:13:31 > |
Get the Free Android App for your phone
Moyo ni hadithi inayoelezea kisa cha vijana wawili Prince na Gabriel waliotokea kumpenda mwanamke mmoja, Cherry. Prince anawahi kumpata Cherry na kumtambulisha kwa rafiki yake, lakini Gabriel anaonekana kutofurahia jambo... Read more
Moyo ni hadithi inayoelezea kisa cha vijana wawili Prince na Gabriel waliotokea kumpenda mwanamke mmoja, Cherry. Prince anawahi kumpata Cherry na kumtambulisha kwa rafiki yake, lakini Gabriel anaonekana kutofurahia jambo hilo na kuamua kufanya maamuzi ya kuanza mbio za kumpata mwanamke huyo huyo. Je, ataweza? SONGA NAYO... (Episode 1)