Moyo Series Episode 3
Moyo Series Episode 3
< 00:15:13 > |
Get the Free Android App for your phone
Kutokana na kupooza mwili wake, cherry anashindwa kushiriki tendo la ndoa na mume wake! Hivyo Gabriel anamshauri Prince atafute mwanamke wa pembeni ambaye ataweza kumpatia mtoto. Delila anaendelea kupambana kumpata... Read more
Kutokana na kupooza mwili wake, cherry anashindwa kushiriki tendo la ndoa na mume wake! Hivyo Gabriel anamshauri Prince atafute mwanamke wa pembeni ambaye ataweza kumpatia mtoto. Delila anaendelea kupambana kumpata Prince na Gabriel anamuahidi kuwa yupo tayari kuivunja ndoa ya rafiki yake... Je, ataweza? SONGA NAYO... (Episode 3)
.
.
Maoni yako ni muhimu sana kwetu, tuachie comment yako ni kipi tuboreshe! Series hii itakuwa inatolewa muendelezo kila JUMATANO, IJUMAA na JUMAPILI!