Moyo Series Episode 7
Moyo Series Episode 7
< 00:15:45 > |
Get the Free Android App for your phone
Hatimaye Prince ameondoka kabisa nyumbani kwa mkewe, na kuhamia kwa Delila. Huku nyuma Cherry kodi ya pango imekwisha, anamuita Gabriel kumuomba msaada, ambaye naye anaendelea kumpa mtihani wa kumkubalia ombi... Read more
Hatimaye Prince ameondoka kabisa nyumbani kwa mkewe, na kuhamia kwa Delila. Huku nyuma Cherry kodi ya pango imekwisha, anamuita Gabriel kumuomba msaada, ambaye naye anaendelea kumpa mtihani wa kumkubalia ombi lake! cherry anafukuzwa ndani ya nyumba, je ni wapi atakwenda na hana ndugu mjini na hali yake ile ya ulemavu? SONGA NAYO... (Episode 7)