Moyo Series Episode 8
Moyo Series Episode 8
< 00:14:42 > |
Get the Free Android App for your phone
Prince amegeuzwa mfanyakazi sasa! Analikumbuka penzi la mkewe Cherry! Anaonekana kuchoka na mateso ya Delilah lakini pindi anapoamua kurudi kwa mkewe anastaajabu kuona Cherry amefukuzwa kwenye ile nyumba. Cherry yuko... Read more
Prince amegeuzwa mfanyakazi sasa! Analikumbuka penzi la mkewe Cherry! Anaonekana kuchoka na mateso ya Delilah lakini pindi anapoamua kurudi kwa mkewe anastaajabu kuona Cherry amefukuzwa kwenye ile nyumba. Cherry yuko wapi..? SONGA NAYO. (Episode 8)
.
.
Tamthilia hii ya MOYO imeandikwa na kuongozwa na ADAM LEO (Prince)
Kwa maoni na ushauri unaweza kutupata kwa 0652393960.
Hakikisha una SUBSCRIBE channel yetu kwa kupata Series zijazo.