Jackson Kabirigi - Sijafa, mjini sikuja kwaajili ya bongo movie ila nampenda Gabo zigamba.
Jackson Kabirigi - Sijafa, mjini sikuja kwaajili ya bongo movie ila nampenda Gabo zigamba.
< 00:22:27 > |
Get the Free Android App for your phone
Muigizaji wa filamu Tanzania Jackson Kabirigi, akizungumza na Darcity Online Tv, asema kuwa hajafa na Bongo movie, yupo na uwezo wake umezidi kuongezeka, pia amesema hakuja Dar kwaajili ya filamu... Read more
Muigizaji wa filamu Tanzania Jackson Kabirigi, akizungumza na Darcity Online Tv, asema kuwa hajafa na Bongo movie, yupo na uwezo wake umezidi kuongezeka, pia amesema hakuja Dar kwaajili ya filamu ila msanii anayempenda ni Gabo Zigamba, Msikilize kisha tuachie comment yako hapo chini, usiache ku subscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu.