BATULI | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
BATULI | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
< 00:49:20 > |
Get the Free Android App for your phone
... Read more
Category:
Movies from 2023...
#Batuli #bongomovie #filamu #AdamLeo #batuli filamu ya kusisimua inayoonyesha kisa cha Binti aitwaye Batuli ambaye hana wazazi na anaolewa na mwanaume ambaye anamtesa sana kufikia hatua ya kumfukuza nyumbani kwake. Kijana Adam anatokea kutaka kumsaidia lakini anakutana na changamoto, je atazishinda? Ungana nasi kufuatilia kisa hiki kizuri na ch kusisimua.